(Sung in Swahili) Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu (If God were to ask a man) Jinsi ya kumtendea mwanadamu (How to do to a fellow man) Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo (Then I would not be how I am) Hata tena nisingekuwa mahali nilipo (And I would not be where I am) Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali […]
