(Sung in Swahili) Refrain: Asante kwa muziki, asante Mungu kwa ngoma (Thank you, Thank you God for music) Hebu wewe ona vile watu wako wanapona (Look at how Your people sing & are healed) Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa (Music heals, listen to it and be eased) Muziki ni dawa, ndio maana mimi naimba […]
