(Sung in Swahili) Refrain: Hakuna silaha yeyote (No Weapon) Iliyotumwa kinyume chetu (Forged against us) Itakayofaulu (Shall prosper) (Repeat) Silaha yoyote itakayotumwa (Any weapon sent) Kwa njia moja au nyingine (In one way or another) Itawanywishwa kwa njia saba (Will be scattered in seven directions) Haitafaulu (It shall not prosper)(Repeat) (Refrain) Maneno maovu Yaliyonennwa (Curses […]
